Getting sucked into the Makmende Craze

Posted on April 6, 2010

0Lyrics

Microphone check 1, 1, 2 (musyoka)

ukiwasha nare Mathare utaonja vibare
mi si mnati, si barbie, niko tu katikati
staki kuskiza story za charity, charity
nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
sema oh

Chorus
Juu tuko works mzeiya
evacuate the area
Juu tuko works mzeiya

Serikali haijali
si unaona mbwa kali ako pale
dame amejam juu dough haicome
na siwezi kumshow ati life ni exam juu ntatupiwa sufuria
na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
so nikikupita tao, tao
jua sio madharau-rau

Chorus
Juu tuko works mzeiya
evacuate the area
Juu tuko works mzeiya

nipe, nipe nafasi
nikueleze kiasi
vile sisi hufanya
pande hii ya the tracks
hatuchezi na kazi
usipoteze wakati
tumekunja mashati

Repeat Chorus 2x
ha-he

ha-he (8x)

Repeat Chorus

nipe, nipe nafasi
nikueleze kiasi
vile sisi hufanya
pande hii ya the tracks

nipe, nipe nafasi
nikueleze kiasi
vile sisi hufanya
pande hii ya the tracks

© Just A Band

Advertisements
Posted in: Music Africa